Duniani Leo October 9, 2018
Mgombea wa upinzani nchini Cameroon amejitangazia ushindi katika uchaguzi wa urais wakati kura bado zinaendelea kuhesabiwa, Maurice Kamto kutoka chama cha Resistance Movement hajatoa matokeo yoyote kuthibitisha madai yake . Mwandishi wa habari rais wa Saudia Arabia aliyepotea bado hajapatikana.
Facebook Forum