No media source currently available
Kumekuwa na ghasia za hapa na pale kaitka majimbo yanayo zungumza kingereza nchini Cameroon wakati wapiga kura waliokuwa wanashiriki katika uchaguzi wa rais, kumchagua kiongozi mpya kati ya wagombea wanane.
Ona maoni
Facebook Forum