Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 21, 2021 Local time: 06:04

Wananchi wa Cameroon wanaongea lugha ya kiingereza kupiga kura Jumapili.


Wananchi wa Cameroon wanaongea lugha ya kiingereza kupiga kura Jumapili.
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:53 0:00

Wakati wananchi wa Cameroon katika mikoa inayotumia lugha ya kiingereza nchini humo wakisubiri kupiga kura siku ya Jumapili katika uchaguzi wa rais, serikali imeimarisha ulinzi mkali ili kuhakikisha kuwa zoezi hilo linafanyika kwa njia ya amani.

XS
SM
MD
LG