Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Mei 05, 2024 Local time: 16:42

Idadi ya vifo Indonesia yafikia 1400

Wakazi wanakabiliwa na kuwa waokoaji hupona mwili wa waathirika wa tsunami katika kijiji kilichoharibiwa na tsunami ya Ijumaa huko Palu, Central Sulawesi, Indonesia Indonesia, Jumatano, Oktoba 3, 2018.

Rais wa Indonesia Joko Widodo ametembelea sehemu zilizoathiriwa vibaya na tetemeko la ardhi lililofuatiwa na kimbunga kikali, kushuhudia operesheni za uokoaji.

Waokoaji wanaendelea kutoa miili ya waliokufa baada ya kuangukiwa na majengo, idadi ya waliokufa ikifikia 1,400.

Maafisa wanasema idadi ya vifo inaweza kuongezeka.

Misaada ya chakula, maji, mauta na madawa haijawafikia manusura wa tetemeko la ardhi katika mji mkubwa wa Palu ambao umeathirika vibaya.

XS
SM
MD
LG