Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Februari 16, 2025 Local time: 18:55

Mtu amtumia rais Trump bahasha yenye sumu

Rais wa Marekani Donald Trump
Rais wa Marekani Donald Trump

wachunguzi wa marekani wanamtafuta mtu aliyemtumia bahasha, rais wa marekani Donald Trump, na Pentagon, iliyo na sumu ya Ricin.

wachunguzi wa marekani wanamtafuta mtu aliyemtumia bahasha, rais wa marekani Donald Trump, na Pentagon, iliyo na sumu ya Ricin.

Huduma ya siri inasema kwamba bahasha hiyo iliyolenga kumfikia rais Trump, haikufika whitehouse.

Maafisa wanasema kwamba barua zilizotumwa pentagon, moja ikiwa imelengwa kumfikia waziri wa ulinzi Jim Mattis na nyingine mkuu wa shughuli za Navy John Richardson zimefanyiwa vipimo na kubaini kwamba zina sumu ya Racin.

XS
SM
MD
LG