Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Oktoba 29, 2020 Local time: 08:52

Trump adai wademokrat watavuruga nchi


Rais Donald Trump

Rais wa marekani Donald Trump ameonya wapiga kura kwamba chama cha Demokrat kitafanya vurugu endapo kitashinda uchaguzi na kudhibiti bunge la Congress katika uchaguzi wa katikati ya mhula, mwezi Novemba.

Akizungumza katika mkutano wa kampeni mjini Tennessee, Trump, pia ametaja uvumi kuhusu wapinzani wake wa urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, pamoja na kukosoa uwezo wao wa kuongoza taifa, akiwemo senata Elizabeth Warren wa jimbo laMassachusetts na aliyekuwa makam wa rais wa marekani Joe Biden.

Trump amemtania Biden kwa kusema kwamba angependa kupambana naye.

Facebook Forum

Kura ya Maoni : Uchaguzi Tanzania

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

XS
SM
MD
LG