No media source currently available
Maafisa nchini Indonesia wamesema kwamba idadi ya vifo kutokana na tetemeko la ardhi la ijumaa lililosababisha kimbunga kikubwa kwenye kisiwa cha Sulawesi , limeua watu 1,234 . Idadi ya vifo inatarajiwa kuongezeka.
Ona maoni
Facebook Forum