Mgombea wa chama cha mrengo wa kulia katika kinyang’anyiro cha kuwania urais nchini Brazil Jair Bolsonaro amelazwa hospitali kutokana na majeraha aliyopata baada ya ya kushambuliwa kwa kisu wakati alipokuwa akifanya kampeni katika jimbo la Minas Gerais, kusini mashariki mwa nchi hiyo.
Facebook Forum