Duniani Leo September 5, 2018
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo amewasili nchini Pakistan kwa ziara fupi ya mazungumzo kuhusu vita via Afghanistan. Maafisa wa usalama wa Somalia wanasema washambuliaji waliokuwa na bunduki wanadhaniwa wanamgambo wa Al shabab wameuwa watu na kujeruhi wanajeshe wapatao wanne.
Matukio
-
Februari 02, 2023
DRC: Papa Francis awaasa vijana kuwa waadilifu
-
Januari 31, 2023
DRC: Papa apokelewa na umati mkubwa wa watu Kinshasa
Facebook Forum