No media source currently available
Hata baada ya miezi mitatu ya mvutano, waziri mkuu mteule wa Lebanon bado hajaweza kuunda baraza la mawaziri, hatua inayotishia kutatiza utendakazi wa idara zote za serikali na ili kunusuru uchumi wa nchi hiyo ambao tayari umeporomoka.
Ona maoni
Facebook Forum