Duniani leo August 30, 2018
Waziri mkuu wa Uingereza, Theresa May amesema kwamba serikali ya Uingereza itatoa msaada kwa wanajesi wa Kenya nchini Somalia na vilevile kulisaidia taifa la Somalia.Vijana wa Lucha wa DRC Afrika wameandamana wakitaka tume ya uchaguzi kutotumia mfumo wa digitali katika uchaguzi mkuu ujao.
Matukio
-
Februari 08, 2023
Duniani Leo
-
Februari 02, 2023
DRC: Papa Francis awaasa vijana kuwa waadilifu
Facebook Forum