Duniani Leo August 29, 2018
Idara ya mashtaka ya umma nchini Kenya, imeahirisha hadi Oktoba 10, mashtaka dhidi ya naibu jaji mkuu wa Philomena Mwilu. Je ni nini kinachoweza kufanyika kama rais wa Marekani Donald Trump akipatikana na makosa ya uhalifu baada ya aliyekuwa wakili wake Michael Cohen , kukiri kufunya sheria.
Matukio
-
Februari 02, 2023
DRC: Papa Francis awaasa vijana kuwa waadilifu
-
Januari 31, 2023
DRC: Papa apokelewa na umati mkubwa wa watu Kinshasa
Facebook Forum