Wafuasi wa mwanasiasa wa upinzani wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo – DRC - Moise Katumbi wameandamana katika mji wa Goma mashariki mwa DRC wakitaka serikali kumruhusu kuingia nchini humo ili ajitayarishe kwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa baadaye mwaka huu.
Facebook Forum