Katika Duniani Leo, Polisi wa kupambana na ghasia wapelekwa kwenye makao makuu ya chama cha upinzani cha MDC nchini Zimbabwe. Kiongozi wa upinzani Jean Pierre Bemba arejea DRC. Serikali ya Rwanda imesema inatafuta soka mbadala kwa nguo zinazotengenezwa nchini humo.
Facebook Forum