Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 23:27

Wananchi wa Ethiopia washauriwa kurudi nyumbani.


Wananchi wa Ethiopia washauriwa kurudi nyumbani.
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:02 0:00

Waziri mkuu wa Ethiopia ameshauri wananchi wa nchi hiyo waishio nje ya Ethiopia kurudi nyumbani ili kuongeza nguvu katika uchumi na maendeleo ya nchi hiyo.

XS
SM
MD
LG