No media source currently available
Aliyekuwa Rais wa Marekani Barrack Obama, Yuko magharibi mwa Kenya baada ya kuwasili jijini Nairobi hapo jana na kufanya mazungumzo na Rais Uhuru Kenyatta na Kiongozi wa Chama cha upinzania cha ODM Raila Odinga.
Ona maoni
Facebook Forum