Katika Duniani Leo tunaangalia wachambuzi na wanasiasa wa Marekani wanasema amri ya utendaji aliyotia saini Rais Donald Trump na katika nchi nyingi zilizo kwenye ukanda wa bahari zinaelezwa kuwa bado hazijawekezwa vya kutosha, licha kuwa na maeno makubwa ya fukwe