No media source currently available
Utafiti unaonyesha kuwa kwa nchi za Afrika bado kuna changomoto kubwa za kuutambua ugonjwa wa Usonji au Autism kwa Kiingereza na vile vile kupata tiba yake. Daktari Allan Pamba kutoka Kenya anaeleza katika mahojiano haya na Mary Mgawe.