Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Septemba 25, 2020 Local time: 22:32

Makomanda wa jeshi la DRC wahusika na mauwaji ya Beni:CRG


Makomanda wa jeshi la DRC wahusika na mauwaji ya Beni:CRG
please wait

No media source currently available

0:00 0:05:15 0:00

Mkurugenzi wa Kundi la Utafiti wa Kongo, Jason Stearns anasema wanataka serikali ya Kinshasa kufanya uchunguzi zaidi kuhusu jukumu la jeshi katika mauwaji yaliyotokea Beni kati ya 2014-2016.

XS
SM
MD
LG