Upatikanaji viungo

Kenya yaeleza shambulizi dhidi ya al Shabaab lilivyo tekelezwa


Wanajeshi wa umoja wa Afrika huko Somalia.

Kufuatia mashambulizi yaliyofanywa na vikosi vya Kijeshi vya Kenya, KDF, dhidi ya kambi za wanamgambo wa Al-Shabaab nchini Somalia siku ya Jumapili, BMJ Muriithi alizungumza na msemaji wa Jeshi la Kenya, Kanali Joseph Owuoth, na akaanza kwa kumuuliza aelezee jinsi mashambulizi hayo yalivyofanyika….

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG