Upatikanaji viungo

Matukio ya Dunia

DRC yatangaza kampeni ya machanjo dhidi ya homa ya manjano


Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza kwamba itaanza kampeni ya kuchanja watu milioni 11.6 dhidi ya homa ya manjano, baada ya mlipuko wa ugonjwa huo kutangazwa katika mji mkuu wa nchi hiyo.

XS
SM
MD
LG