Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Juni 05, 2023 Local time: 13:34

Uhuru: Hatukukubaliana na Raila kuhusu mazungumzo ya IEBC


Rais Uhuru Kenyatta na Makamu Rais wake William Ruto

Licha ya viongozi wa muungano wa kisiasa nchini Kenya, Cord, kutangaza majina ya wajumbe watano wa kufanya mazungumzo na upande wa serikali kuhusu mzozo unakabili tume ya uchaguzi na mipaka nchini humo, serikali bado inashikilia kwamba mazungumzo yoyote ni lazima yafuate mkondo wa wa sheria kulingana na katiba ya nchi hiyo

Licha ya viongozi wa muungano wa kisiasa nchini Kenya, Cord, kutangaza majina ya wajumbe watano wa kufanya mazungumzo na upande wa serikali kuhusu mzozo unakabili tume ya uchaguzi na mipaka nchini humo, serikali bado inashikilia kwamba mazungumzo yoyote ni lazima yafuate mkondo wa wa sheria kulingana na katiba ya nchi hiyo. BMJ Muriithi amefuatilia matukuio hayo na ameandaa ripoti ifuatayo.

please wait
Embed

No media source currently available

0:00 0:03:06 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

XS
SM
MD
LG