Upatikanaji viungo

Mkutano wa Wataalam Tanzania


Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania.

Wataalam wa Utawala wa Kisheria na ulio bora duniani, Jumatano wameanza mkutano wa siku mbili jijini Dar es-Salaam kujadilia uboreshaji wa utawala katika mataifa barani Afrika.

George Njogopa ameangazia mkutano huo ambao umetajwa kuwa wa kwanza wa aina yake nchini Tanzania. Sikiliza sauti kwa maelezo zaidi.

XS
SM
MD
LG