Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Aprili 21, 2024 Local time: 08:50

Rais Kenyatta azuru Mandera, Wajir na Garissa

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, hii leo ameanza ziara katika eneo la Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo, sehemu ambayo katika siku za hivi karibuni, imekumbwa na visa vingi vya ugaidi, hususan kutokana na kundi la Al Shabaab.

Kwa miongo mingi, wakaazi wa eneo hilo wamekuwa wakilalamika kwamba serikali haiwafikirii kwenye ajenda zake za maendeleo.

BMJ Muriithi anayo taarifa kamili.

please wait

No media source currently available

0:00 0:03:17 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

XS
SM
MD
LG