Upatikanaji viungo

Usajili wa maafisa wa polisi wapya waanza leo, Kenya


Askari nchini Kenya


Leo ni siku kubwa kwa vijana nchini Kenya ambao wanatarajia kutumikia nchi yao katika kazi ya kulinda nchi, kwani zoezi la kuwasajili polisi wapya takriban elfu 10, litafanyika leo Aprili 4, 2016.

Usajili huo unafuatia agizo la rais uhuru Kenyatta, la kuongeza idadi ya maafisa wa polisi, pale Kenya inapokabiliana na magaidi na majangili wanaojihusihsa na wizi wa mifugo na kunyanyasa raia.

XS
SM
MD
LG