Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Aprili 15, 2024 Local time: 08:18

Waziri wa mambo ya nje wa Burundi atoa wito kwa wakimbizi kurudi nyumbani


Alain Nyamitwe waziri wa mambo ya nje wa Burundi akizungumza na VOA.
Alain Nyamitwe waziri wa mambo ya nje wa Burundi akizungumza na VOA.

Waziri wa mambo ya nje wa Burundi Bw.Alain Nyamitwe amesema serikali yake imepokea vizuri suala la kuteuliwa rais mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa katika kusuluhisha mzozo wa Burundi.

please wait

No media source currently available

0:00 0:02:34 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Alizungumza hayo mwishoni mwa wiki katika mahojiano maalum na idhaa ya kiswahili ya VOA.

Kuhusu wakimbizi walioko nje ya nchi hiyo ametoa wito wa wakimbizi hao kurudi na wasihofu usalama kwa sababu suala la usalama ni la wote wakimbizi na wale walioko nyumbani.

Rais mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa aliteuliwa na jumuiya ya Afrika mashariki katika kutanzua mzozo wa Burundi hivi karibuni.

XS
SM
MD
LG