No media source currently available
Mwanasiasa wa Burundi Hussein Radjabu akiwa uhamishoni azungumzia ziara ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon mjini Bujumbura na tangazo la kuanza mazungumzo kati ya pande zote.