Siku moja baada ya baadhi ya makamishna wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kuonya kuhusu kurudiwa kwa uchaguzi wa visiwa hivyo huku wakitaka pia kuundwa kwa chombo cha kimataifa kutanzua mzozo huo, baadhi ya wachambuzi wa maswala ya kisiasa wamesema kuwa watu waatakaomaliza mvutano huo ni Wanzibar wenyewe.
Kutoka Dar es salaam, George Njogopa anaarifu zaidi..