No media source currently available
Mwenyekiti wa zamani wa chama tawala cha Burundi CNDD-FDD, Hussein Rajabu anasema mazungumzo ndio njia pekee ya kupatikana amani nchini mwake kwa hivi sasa.