No media source currently available
Waziri mpya wa mambo ya nchi za nje wa Tanzania Augustine Mahiga anasema serikali ya Tanzania itaweza kutanzua mzozo wa kisiasa wa Zanzibar bila ya kuingiliwa na mataifa ya nje.