Upatikanaji viungo

Matukio ya Dunia

Phyillis Omido Mshindi wa Goldman Atembelea VOA


Phiyillis Omido mwanaharakati wa kutetea mazingira kutoka Mombasa ni mmoja wapo ya washindi wa tunzo maarufu ya kutetea mazingira ya Goldman 2015, inayotolewa Marekani kila mwaka.

XS
SM
MD
LG