No media source currently available
Vikosi vya usalama vya Tanzania vimewashambulia majambazi walokuwa wamejificha kwenye mapango ya Amboni wilayani Tanga. Maafisa sita wa polisi wamejeruhiwa na majambazi wamekimbia