VOA Express
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi. Ratiba Mon-Fri Saa (kwa saa za huku) 9.30 UTC saa ya kimataifa 1330 - 1400 Muda 30:00
Matukio
-
Machi 05, 2021
VOA Express
-
Machi 04, 2021
VOA Express
-
Machi 03, 2021
VOA Express
-
Machi 02, 2021
VOA Express
-
Machi 01, 2021
VOA Express
-
Februari 26, 2021
VOA Express