Mahojiano na Dr Ndumbaro
Mhadhir wa masuala ya Sheria, Dr. Ndumbaro anasema kwa vile suala la Tegeta Escrow lilianzia bungeni, na kumagizia Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali pamoja na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, wafanye utafiti na wapeleke ripoti bungeni, basi wana haki ya kulijadili suala hilo.