No media source currently available
Hali ya Rais Jakaya Kikwete inaendelea vizuri siku mbili baada ya upasuwaji wa tezi dume mjini Baltimore kulingana na katibu wa rais Prosper Mbena.