Upatikanaji viungo

Live Talk

Live Talk; Hali ya Wafanyakazi wa Afrika Mashariki Arabuni


Serikali ya Kenya ilisimamisha shughuli zote za kusafirisha wafanyakazi wake huko Arabuni kufuatia kuongezeka vitendo vya unyanyasaji na mateso dhidi ya wafanyakazi hao.

XS
SM
MD
LG