Upatikanaji viungo

Matukio ya Dunia

Somalia yafufua kilimo baada ya miongo kadhaa ya vita


Serikali ya Somalia kwa msaada wa idara ya Umoja wa Mataifa ya Chakula na Kilimo FAO, na Idara ya Chakula Duniani WFP, wameweza kuwasaidia wakulima wa majimbo ya kati kufufua kilimo na kuanza kuzalisha chakula chenye lishe bora.

XS
SM
MD
LG