Published 29.01.2013
Kwa takriban siku nne mfululizo wakazi wa Mtwara wamekuwa wakiandamana na kuchomo mota mali ya wakuu wa serikali wanaohusika na mpango wa kusafirisha gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam