Jumapili, Oktoba 26, 2014 Local time: 09:31

Habari

Mitaani

Your JavaScript is turned off or you have an old version of Adobe's Flash Player. Get the latest Flash player.
Watanzania waeleza wasiwasi kuhusu Ebolai
|| 0:00:00
...
 
🔇
X
24.10.2014 18:53
Watanzania waonyesha wasiwasi kwamba serikali ya nchi hiyo haina kampeni kabambe ya kuzuia uwezekano wa Ebola nchini

video Watanzania waeleza wasiwasi kuhusu Ebola

Watanzania waonyesha wasiwasi kwamba serikali ya nchi hiyo haina kampeni kabambe ya kuzuia uwezekano wa Ebola nchini

katika picha Maelfu ya watu wajitokeza kumwaga Profesa Ali Mazrui

Maelfu ya wakazi wa Mombasa na wageni walihudhuria maziko ya msomi mashuhuri wa kimataifa Ali Mazrui siku ya jumapili Oktoba 19, 2014. Mazrui alifariki nyumbani kwake New York akiwa na umri wa miaka 81.

video Ebola yazusha wasi wasi Marekani

Rais Barack Obama amewahakikishia tena Wamarekani kwamba uwezekano wa kutokea mlipuko wa Ebola hapa nchini ni mdogo sana. Hii inafuatia kutangazwa kwamba muuguzi wa pili ameambukizwa virusi hivyo vya hatari aliyekua anamtibu mgonjwa wa Ebola, kutoka Liberia Bw. Duncan.

katika picha Wamsumbiji wapiga kura katika uchaguzi mkuu wenye ushindani mkubwa

Wapiga kura wa Msumbiji walipiga kura Jumatano katika uchaguzi wa kwanza wenye ushindani mkubwa tangu kumalizika kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo 1992, na kufanyika uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi 1994. Kuna wagombea watatu wanaopigania kiti cha rais.

video Wakenya na Uhuru Kenyatta katika ICC

Wananchi wa Kenya watoa maoni mbali mbali kuhusu hatua ya Rais Uhuru Kenyatta kutokea katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu - ICC.

video Katiba mpya yaidhinishwa, jee Watanzania wasemajee - VOA Mitaani

Bunge maalum la Katiba limeidhinisha rasimu ya Katiba, lakini Watanzania watofautiana katika maoni juu ya jinsi ilivyo idhinishwa bila ya sehemu kubwa ya upinzani kuwepo bungeni.

Zaidi

Matukio

Your JavaScript is turned off or you have an old version of Adobe's Flash Player. Get the latest Flash player.
Ebola yazusha wasi wasi Marekanii
|| 0:00:00
...
 
🔇
X
Abdushakur Aboud
16.10.2014 12:27
Rais Barack Obama amewahakikishia tena Wamarekani kwamba uwezekano wa kutokea mlipuko wa Ebola hapa nchini ni mdogo sana. Hii inafuatia kutangazwa kwamba muuguzi wa pili ameambukizwa virusi hivyo vya hatari aliyekua anamtibu mgonjwa wa Ebola, kutoka Liberia Bw. Duncan.
 • Je Nifanyeje?
  30 min

  Je Nifanyeje?

  Je Nifanyeje? Maamuzi ya Afya na Kijamii kwa Vijana - Kipindi cha dakika 30...

 • Jioni
  30 min

  Jioni

  Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa...

 • Jioni
  60 min

  Jioni

  Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa...