Putin aliwaambia wafuasi wake anauchukulia uchaguzi huo ni wa kidemokrasia na kuwafuta kazi walioupinga
Mashambulizi yalilenga makamanda wenye uhusiano na Tehrik-e-Taliban Pakistan au TTP.
Vikosi vya Israel vinachukua hatua hii kwa sababu maafisa wa Hamas wanaitumia hospitali hiyo kuongoza mashambulizi dhidi ya Israel.
Ni baada ya Umoja wa Ulaya kupendekeza mabadiliko ya sheria kupunguza kwa kiasi kikubwa kanuni za mazingira za CAP
Jeshi la Marekani lina mamia ya wanajeshi walioko huko katika kambi kubwa ya jeshi la anga kaskazini mwa Niger
Walinda amani wanane wa Umoja wa mataifa wamejeruhiwa kulingana na taarifa ya mkuu wa ujumbe wa UN
Putin mwenye umri wa miaka 71 anatarajiwa kuongeza utawala wake wa karibu robo karne kwa miaka mingine sita
Makubaliano hayo yamepangwa kutiwa saini wakati wa ziara ya rais wa Tume ya Ulaya, Ursula von der Leyen
Maafisa wanaoratibu hali ya kibinadamu Syria wanakadiria watu milioni 16.7 wanahitaji misaada ya kibinadamu
Sonko na Bassirou Diomaye Faye waliachiwa huru Alhamisi chini ya sheria ya msamaha iliyopendekezwa na Sall
Waziri Mkuu wa Pakistan Shehbaz Sharif amelaani shambulizi hilo kuwa ni kitendo cha kihuni cha magaidi
Ni jaribio la karibuni katika mapambano ya makombora ya masafa marefu na ufyatuaji roketi katika vita vya Russia kwa Ukraine
Pandisha zaidi