Upatikanaji viungo

VOA Mitaani

Vijana wa YALI wamuimbia Rais Obama wimbo wa Happy Birthday


Vijana viongozi wa Afrika YALI walipokutana na Rais Obama siku ya Jumatano mjini Washington walimuimbia na kumtakia kila la kheri katika siku yake ya kuzaliwa Alhamisi Oguzti 4.

XS
SM
MD
LG