Published 21.12.2012
Maafisa wa usalama Kenya wanasema takriban watu 39 - wanavijiji 30 na washambulizi 9 -wameuwawa katika mapambano mwpya kati ya watu wa makabila mawili katika wilaya ya villagers Tana River huko Kenya