Jumapili, Februari 14, 2016 Local time: 11:02

  Katika Picha

  • Wakazi wa Goma wakimbia baada ya mji wao kutekwa na wapiganaji wa M23
  • Polisi wa mji wa Goma wakusanyika katika uwanja wa michezo Goma siku ya pili baada ya M23 kuuteka mji huo
  • Wanajeshi wa serikali ya Kongo baada ya kushindwa na wapiganaji wa M23.
  • Wapiganaji wa M23 waingia Goma
  • Mwanajeshi wa DRC auliwa na M23
  • DRC M23 rebels in Rutshuru
  • DRC waasi wa M23 mitaani Goma
  • Wapiganaji wa M23 wawasili Goma
  • DRC waasi wa M23 wapiga doria Goma
  • Msemaji wa M23 Vianney Kazarama
  • Utulivu unaone3kama umerudi Goma Jumanne jioni
  • Wanajeshi wa serikali ya Kongo baada ya kushindwa nguvu na wapiganaji wa M23.

  Wapiganaji wa M23 wauteka Goma

  Published 20.11.2012

  Wapiganaji wa M23 wauteka mji wa Goma mashakiri ya jamhuri ya Kidemokrasia ya kongo baada ya kupambana na majeshi ya serikali kwa zaidi ya wiki moja.