Published 06.11.2012
Mamilioni ya Wamarekani wanapiga kura kumchagua rais mpya na bunge jipya. Uchunguzi wa maoni unaonesha Rais Barak Obama akiwa sare na Gavana Mitt Romney.