Jumatano, Februari 10, 2016 Local time: 05:35

  Habari

  Bashir na Kiir waendelea na mashauriano

  Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir na Rais wa Sudan, Hassan al-Bashir waendelea na mashauriano mjini Addis Ababa.Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir na Rais wa Sudan, Hassan al-Bashir waendelea na mashauriano mjini Addis Ababa.
  x
  Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir na Rais wa Sudan, Hassan al-Bashir waendelea na mashauriano mjini Addis Ababa.
  Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir na Rais wa Sudan, Hassan al-Bashir waendelea na mashauriano mjini Addis Ababa.
   Marais wa Sudan na Sudan Kusini wanakutana kwa siku ya pili leo Jumatatu wakijaribu kufikia makubaliano kuhusu masuala ya muda mrefu ambayo hayajasuluhishwa tangu nchi hizo mbili zigawanyike mwaka jana.
  Mazungumzo kati ya Rais Omar al Bashir wa Sudan na Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini yameendelea leo katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa.
  Msemaji wa Sudan amesema baada ya duru ya awali ya mashauriano siku ya Jumapili pande hizo mbili zimekubaliano katika masuala mengi  kama uchumi, mafuta na biashara, lakini bado wamegawanyika katika masuala ya usalama.
  Mizozo imetokea pale Sudan Kusini ilipojitangazia uhuru wake July 2011  kutoka Sudan na kusababisha kutokea kwa mzozo kuhusu mkoa wa Abyei wenye utajiri wa mafuta.
  Sudan pia inaishutumu kusini kwa kuwapatia silaha waasi katika mikoa miwili ya kusini, wakati Sudan Kusini inalishutumu jeshi la Sudan kwa upigaji mabomu.
  Umoja wa Mataifa umezipa pande nchi hizo mbili mpaka Jumamosi kufikia muafaka au zitakabiliwa na vikwazo.

  You May Like

  Trump, Sanders washinda New Hampshire

  Trump na Sanders wataondoka New Hampshire na ushindi wakiingia katika awamu ifuatayo ya uchaguzi wa awali katika majimbo ya kusini mwa nchi Zaidi

  Uganda Police Buy Anti-Riot Gear Ahead of Museveni's Re-election Bid

  Critics say security personnel use violence to intimidate opposition supporters; police say equipment to be used to ensure voting is secure Zaidi

  UNESCO Documents Africa’s Need for Textbooks

  Report details extent of shortages, suggests more funding, investment in better quality books, improved accounting of deliveries, better forecasting of needs can help Zaidi

  sauti Upigaji kura unaendelea katika jimbo la New Hampshire

  Ushindani mkali umejitokeza baina ya wagombea wa chama kimoja hadi kingine katika saa za mwisho kabla ya vituo kufungwa na matokeo rasmi kutangazwa. Zaidi

  mjadala huu umefungwa
  Maoni
       
  Hakuna mtu ameandika maoni hapa. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.