Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Juni 15, 2026 Local time: 12:45

Margaret Thatcher ameaga dunia

Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Margaret Thatcher (kati) akiwa pamoja na mashujaa wa vita vya Falkland katika maandamano Londo kuadhimisha miaka 25 ya vita vya Falkland Jun 17, 2007
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Margaret Thatcher (kati) akiwa pamoja na mashujaa wa vita vya Falkland katika maandamano Londo kuadhimisha miaka 25 ya vita vya Falkland Jun 17, 2007
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Margaret Thatcher afariki akiwa na umri wa miaka 87 kufuatia kupata kiharusi. Thatcher anasifiwa kwa kubadili muelekeo wa siasa za Uingereza wakati wa mihula yake mitatu madarakani.

Thatcher alikuwa mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kushika madafraka ya juu ya Uingereza, aliyechukuliwa kuwa kiongozi mashuhuri anaeheshimiwa duniani mnamo miaka 11 ya uwongozi wake.

Katika kitabu juu ya wasifu wake Bi. Thatcher, aliyejulikana kama "Iron Lady" anasema mafaniko yake makubwa kama waziri mkuu ni kubadili sera ya Uingereza kutoka kile alichokieleza ujamaa usio na nguvu kuelekea jamii ya biashara huru.

Margaret Thatcher, 1925-2013

Waziri Mkuu wa zamani Margaret Thatcher akitafakari kidogo wakati wa mkutano na waandishi habari mjini London, Juni 10, 1987.
1/9 Waziri Mkuu wa zamani Margaret Thatcher akitafakari kidogo wakati wa mkutano na waandishi habari mjini London, Juni 10, 1987.
Waziri Mkuu wa Uingereza Margaret Thatcher afariki dunia akiwa na umri wa miaka 87 kutokana na kiharusi.
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza  Margaret Thatcher akisubiri kumsalimia Papa Benedict katika ukumbi wa kanisa la  Westminster  jijini London, Sept. 17, 2010.
2/9 Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza  Margaret Thatcher akisubiri kumsalimia Papa Benedict katika ukumbi wa kanisa la  Westminster  jijini London, Sept. 17, 2010.
Waziri Mkuu wa Uingereza Margaret Thatcher afariki dunia akiwa na umri wa miaka 87 kutokana na kiharusi.
Former British Prime Minister Margaret Thatcher gestures to members of the media as she stands on her house doorstep, following her return home from hospital, in central London, June 29, 2009.
3/9 Former British Prime Minister Margaret Thatcher gestures to members of the media as she stands on her house doorstep, following her return home from hospital, in central London, June 29, 2009.
Waziri Mkuu wa Uingereza Margaret Thatcher afariki dunia akiwa na umri wa miaka 87 kutokana na kiharusi.
Former British Prime Minister Margaret Thatcher and Falklands veterans take part in a march in London, during a service to commemorate the 25th anniversary of the Falkland Islands conflict, June 17, 2007.
4/9 Former British Prime Minister Margaret Thatcher and Falklands veterans take part in a march in London, during a service to commemorate the 25th anniversary of the Falkland Islands conflict, June 17, 2007.
Waziri Mkuu wa Uingereza Margaret Thatcher afariki dunia akiwa na umri wa miaka 87 kutokana na kiharusi.
Britain's Baroness Thatcher reads the order of service surrounded by empty seats as she waits for Queen Elizabeth to deliver her speech at the State Opening of Parliament in the House of Lords, Nov. 13, 2002.
5/9 Britain's Baroness Thatcher reads the order of service surrounded by empty seats as she waits for Queen Elizabeth to deliver her speech at the State Opening of Parliament in the House of Lords, Nov. 13, 2002.
Waziri Mkuu wa Uingereza Margaret Thatcher afariki dunia akiwa na umri wa miaka 87 kutokana na kiharusi.
Then Pakistani Prime Minister Benazir Bhutto meets with former British Prime Minister Margaret Thatcher in Islamabad, Pakistan, March 24, 1996.
6/9 Then Pakistani Prime Minister Benazir Bhutto meets with former British Prime Minister Margaret Thatcher in Islamabad, Pakistan, March 24, 1996.
Waziri Mkuu wa Uingereza Margaret Thatcher afariki dunia akiwa na umri wa miaka 87 kutokana na kiharusi.
Then British Prime Minister Margaret Thatcher points a finger as she answers questions at a news conference in London, June 8, 1987.
7/9 Then British Prime Minister Margaret Thatcher points a finger as she answers questions at a news conference in London, June 8, 1987.
Waziri Mkuu wa Uingereza Margaret Thatcher afariki dunia akiwa na umri wa miaka 87 kutokana na kiharusi.
Then British Prime Minister Margaret Thatcher and French President Francois Mitterrand pose for the media after a meeting about nuclear arms control at the Chateau de Benouville in Normandy, western France, March 23, 1987.
8/9 Then British Prime Minister Margaret Thatcher and French President Francois Mitterrand pose for the media after a meeting about nuclear arms control at the Chateau de Benouville in Normandy, western France, March 23, 1987.
Waziri Mkuu wa Uingereza Margaret Thatcher afariki dunia akiwa na umri wa miaka 87 kutokana na kiharusi.
Then President Ronald Reagan chats with British Prime Minister Margaret Thatcher during State Arrival Ceremonies at the White House, Feb. 26, 1981.
9/9 Then President Ronald Reagan chats with British Prime Minister Margaret Thatcher during State Arrival Ceremonies at the White House, Feb. 26, 1981.
Waziri Mkuu wa Uingereza Margaret Thatcher afariki dunia akiwa na umri wa miaka 87 kutokana na kiharusi.
Previous slide
Next slide
XS
SM
MD
LG