Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Mei 04, 2024 Local time: 15:43

Amnesty International yazisuta Zimbabwe, DRC na Ethiopia kwa rekodi mbaya ya haki za binadamu

Amnesty International yazisuta Zimbabwe, DRC na Ethiopia kwa rekodi mbaya ya haki za binadamu
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Ripoti ya kila mwaka ya shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty International, inaonyesha hali bado ni mbaya nchini Zimbabwe, DRC na Ethiopia, licha ya kuisifu Zimbabwe kwa kutekeleza sheria kulinda watoto dhidi ya mimba za mapema.

XS
SM
MD
LG