Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Juni 20, 2026 Local time: 02:04

ratiba ya matangazo

09:30 - 10:00

Wakosoaji wasema masuala muhimu hayakujadiliwa katika mdahalo Kenya

Mdhalao wa wagombea urais Kenya unakosolewa kwa "kutotilia maanani masuala ya vijana na wanawake" kama anavyoeleza mwanaharakati Jackline Adhiambo.

XS
SM
MD
LG