ratiba ya matangazo
06:00 - 06:30
16:30 - 16:59
Wafanyabiashara DRC wasema Kiswahili kitakuza biashara nchi za SADC
Mwanaharakati na mfanyabiashara Josephine Malimukono anasema Kiswahili kinazungumzwa sana Mashariki mwa Congo hivyo nchi za SADC zikitoa kipaumbele kwa lugha hiyo zitakuwa na manufaa makubwa kwa jumuiya ya wafanyabiashara katika eneo hilo.
19:30 - 19:59
Ujumbe wa bunge la Marekani wakutana na viongozi wa Kenya
Ujumbe wa bunge la Marekani ukiongozwa na Seneta wa jimbo la Delaware Chris Coons Alhamisi ulikutaba na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, Rais Mteule William Ruto na kiongozi wa upinzani Raila Odinga katika vikao tofauti na kusisitiza umuhimu wa kudumisha amani.
21:00 - 21:29