ratiba ya matangazo
06:00 - 06:29
Mikusanyiko ya kidini yalaumiwa kueneza ugonjwa wa Surua Zimbabwe.
Wizara ya afya imesema kwamba takriban watu 80 tayari wamekufa tangu ugonjwa huo ulipozuka wakati ikisemekana kwamba unaenea kwa haraka zaidi kutokana na mikusanyiko mikubwa ya kidini. Baadhi ya madhehebu wamewakataza wafuasi wao kupata chanjo za aina yoyote zile.
16:30 - 16:59
Kenya waendelea kusubiri matokeo ya uchaguzi.
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) inatarajiwa kutangaza matokeo ya mwisho ya uchaguzi wa urais Agosti 15,2022. Hii ni baada ya tume ihiyo kukamilisha shughuli ya uidhinishaji .Mwenyekiti Wafula Chebukati anasubiriwa kwa tangazo kubwa katika kituo cha kuhesabu kura, Bomas of Kenya.
21:00 - 21:29